Episodes

Friday May 23, 2025
Friday May 23, 2025
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya Juu ( HESLB) Imezindua application mpya ya HESLB kwa Lengo la kurahisisha huduma za utoaji, urejeshwaji na maombi ya mikopo kwa watumiaji

Sunday May 18, 2025
Sunday May 18, 2025
Namna umoja wa madereva bajaji na BODABODA katika chuo kikuu cha Dodoma wanavyorahisisha huduma ya usafirishaji na changamoto wanazopitia chuo hapo

Sunday May 11, 2025
Sunday May 11, 2025
jinsi chuo kikuu cha Dodoma kilivyochachu kwa vijana Kuanzisha taasisi mbalimbali za MAENDELEO KATIKA jamii, kama taasisi za afya, elimu fedha n.k

Sunday May 04, 2025
Sunday May 04, 2025
Waziri wa ulizi na usafirishaji aeleza jinsi serikali ilivyojipambanua kuboresha taa za barabarani.

Sunday Apr 20, 2025
Sunday Apr 20, 2025
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Imefanya kongamano la uboreshaji wa mazingira KWA wafanyabiashara nchini. Na kuwasisitiza wananchi kuendelea kulipa kodi
